


WASWAHILI WANASEMA ,MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU!!!PARTY YA H- TOWN ILIKUWA NAMBA MOJA, KWANZA USHIRIKIANO ULI KUWA NDIO KITU KIKUBWA KILICHO FANIKISHA SHUGHULI HIYO. PILI - UNDUGU,UPENDO NA UMOJA, NI KIVUTIO KIKUBWA KATIKA SHUGHULI HIYO NZIMA , HUSUSAN KATIKA UPANDE WA MICHEZO........
No comments:
Post a Comment